未登录状态下记录不会被保存。登录后可计入记录与排行。
登录
✕
S
scripture.how
圣经打字练习
CN
网站语言
한국어
KO
English
EN
日本語
JA
简体中文
CN
主题
浅色
深色
字号
小
中
大
字体
黑体
宋体
Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano, na wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakaondoa punje zake kwa mikono, wakala. Baadhi ya Mafarisayo wakawauliza, “Mbona mnafanya jambo ambalo si halali siku ya Sabato?” Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa? Yeye aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Kisheria, ni makuhani tu peke yao ndio walioruhusiwa kula mikate hiyo.” Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ni Bwana wa Sabato.”
Jesus Is Lord of the Sabbath
圣经 · 打字练习
⌨
英文
0
WPM
0
CPM
0
击键
100%
准确度
0%
进度
0/0
句
🌙
直接开始打字。按 Enter 进入下一句。
⚠️
完成了!🎉
重来
下一章
前往抄写