未登录状态下记录不会被保存。登录后可计入记录与排行。
登录
✕
S
scripture.how
圣经打字练习
CN
网站语言
한국어
KO
English
EN
日本語
JA
简体中文
CN
主题
浅色
深色
字号
小
中
大
字体
黑体
宋体
Siku nyingine ya Sabato, Yesu aliingia katika sunagogi, akafundisha. Mle ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza. Walimu wa Sheria na Mafarisayo walitaka kupata kisingizio cha kumshtaki Yesu na hivyo wakawa wanangojea waone kama angemponya mtu siku ya Sabato. Lakini Yesu alijua mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Inuka, simama katikati.” Yule mtu akaenda akasimama katikati. Kisha Yesu akawaambia, “Nawaulizeni, je, ni halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?” Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena. Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.
Jesus Heals a Man with a Withered Hand on the Sabbath
圣经 · 打字练习
⌨
英文
0
WPM
0
CPM
0
击键
100%
准确度
0%
进度
0/0
句
🌙
直接开始打字。按 Enter 进入下一句。
⚠️
完成了!🎉
重来
下一章
前往抄写